F-Droid ni saraka ya FOSS (free and open source software) programu tumizi ya Android.
Kama vile Google Play mtu anaweza kuvinjari, kusanikisha na kufuatilia masasisho kwenye kifaa kwa kutumia F-Droid.
Tor Browser is available on F-Droid. Follow these steps if you prefer installing the app through F-Droid.