Onion-Location / Onion-Location

Onion-Location ni taarifa ya HTTP isiyo na viwangoambayo tovuti inaweza kutumia kutangaza onion zingine. Kama tovuti unayotembelea ina onion, ujumbe wa zambarau katika sehemu ya URLkatika Tor Browser utatokea ukionyesha "uwepo wa .onion". Ukibofya katika ".onion available",tovuti itatafuta data tena na kukupeleka katika onion zingine.

Translation notes:

Do not translate.