Tunasanidi NoScript kuruhusu JavaScript kwa asili yake katika Tor Browser kwa sababu tovuti nyingi hazitafanya kazi na JavaScript zilizoshindwa kufanya kazi. Watumiaji wengi, watakata tamaa na Tor kama hatutawezesha JavaScript kwa asili yake kwa sababu itasababisha matatizo mengi kwao. Hatimaye, tunataka kufanya Tor Browser iwe salama kadri iwezekanavyo huku ukiendelea kutumika na watu wengi, kwa sasa, inamaanisha kuondoa JavaScript inawezeshwa kwa asili yake.

For users who want to have JavaScript disabled on all HTTP sites by default, we recommend changing your Tor Browser's Security Levels option. This can be done by clicking on the Security level icon (the shield right next to the URL bar) and then clicking on "Settings...". "Kiwango cha kawaida" uruhusu JavaScript, kiwango "salama" uzuia JavaScript kwenye tovuti za HTTP na kiwango salama zaidi huzuia JavaScript zote pamoja.