Kwa asili yake, mteja wako wa Tor anasikiliza tu applikesheni ambazo zimeunganishwa na mendeshaji wa ndani.
Mawasiliano na kompyuta nyingine zimekataliwa.
Kama unataka kutumia aplikesheni kwenye kompyuta nyingi kuliko mteja wa Tor, unaweza kuhariri torrc zako kuelezea anwani ya SocksListern 0.0.0.0
pia anzisha upya Tor.
Kama unataka kupata iliyo bora zaidi, unaweza kusanidi mteja wako wa Tor ulinzi imara kujenga anwani yako ya IP ya ndani na sio anwani yako ya nje ya IP.
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
JIANDIKISHE KUPOKEA JARIDA LETU
Pata taarifa na fursa za kila mwezi kutoka Tor Project:
SEARCH
Trademark, copyright notices, and rules for use by third parties can be found in our Trademark and Brand policy.